Vijana wa jangwani watua salama tunisia

Vijana wa jangwani watua salama tunisia

kamban

Senior Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
108
Reaction score
44
Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25
 
Attachments

  • 1430421469722.jpg
    1430421469722.jpg
    24.5 KB · Views: 435
  • 1430421514538.jpg
    1430421514538.jpg
    22.8 KB · Views: 679
Hizi timu zetu za bongo bana, hawaonagi wenzao timu zinaposafiri huwa wanaandaa outfit za kupendeza, hawa na yeboyebo zao za kuogea kama wanaebda beach vile. Na huyu mwingine kofia lake hili sijui kapata wapi! Ndio maana tunafungwa kila siku.
 
Ndio outfit za kupandia boti kwenda mapinduzi cup.
 
Umepotea njia, mi sio mpenzi wa Simba au Yanga ila nilichoona hapa smartness kwa wabongo sio muhimu, kwa kawaida timu zinaposafiri zinakuwa na special outfit kwa wachezaji, sasa wanaenda kucheza mechi ya kimataifa wanavaa kihuni kama hivi!

attachment.php

Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25

Sasa Wakitua Salama au Wasitue Salama Sisi Inatusaidia Nini? Ukinitajia YANGA Ni Sawa Umenitajia Rais Wa Mashetani Wote LUCIFA!
 
Hizi timu zetu za bongo bana, hawaonagi wenzao timu zinaposafiri huwa wanaandaa outfit za kupendeza, hawa na yeboyebo zao za kuogea kama wanaebda beach vile. Na huyu mwingine kofia lake hili sijui kapata wapi! Ndio maana tunafungwa kila siku.

Sasa Kama Rais Wao Tu Wa Klabu Na Msemaji Wao Ni Ma POYOYO Kichwani Je Wewe Unategemea MICHEZAJI Yao Iweje? Hakuna Timu Hapo!
 
Huo Mkia Ndiyo Kila Uchezapo Na Mimi MNYAMA Unakuingia.

Halafu inaonesha wanaupenda sana, kila wakati wanautaja. Nashangaa timu inaitwa Simba Sports Club a.k.a Mnyama mkali. Hilo la mkia walilitunga baada ya kuchapwa nao kila wakikutana na Mnyama.
 
Ni Simba pekee alimtoa huyo Mwarabu, wengine wote wanakwenda kupunguza idadi ya mikia itakayowaingia tu lakini kufa lazima wafe tena kifo kibaya.

FT: Etoile du Sahel 5
Yeboyebo 0
 
Halafu inaonesha wanaupenda sana, kila wakati wanautaja. Nashangaa timu inaitwa Simba Sports Club a.k.a Mnyama mkali. Hilo la mkia walilitunga baada ya kuchapwa nao kila wakikutana na Mnyama.

Hakika.
 
Mi bado niko na huyu mwenye kofia la blue, sijui ndio nani huyu? Kwanini kwanini kavaa hili kofia

attachment.php
 
Back
Top Bottom