Bora mfungwe tu hamna jipya.
Hizi timu zetu za bongo bana, hawaonagi wenzao timu zinaposafiri huwa wanaandaa outfit za kupendeza, hawa na yeboyebo zao za kuogea kama wanaebda beach vile. Na huyu mwingine kofia lake hili sijui kapata wapi! Ndio maana tunafungwa kila siku.
Ndio outfit za kupandia boti kwenda mapinduzi cup.
unaroho mbaya kama mchawi
Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25
Daima mbele,
Nyuma mikia
Hizi timu zetu za bongo bana, hawaonagi wenzao timu zinaposafiri huwa wanaandaa outfit za kupendeza, hawa na yeboyebo zao za kuogea kama wanaebda beach vile. Na huyu mwingine kofia lake hili sijui kapata wapi! Ndio maana tunafungwa kila siku.
Sasa Kama Rais Wao Tu Wa Klabu Na Msemaji Wao Ni Ma POYOYO Kichwani Je Wewe Unategemea MICHEZAJI Yao Iweje? Hakuna Timu Hapo!
Yaani ukiangalia picha tu utaona, washafungwa kuanzia airport.
Huo Mkia Ndiyo Kila Uchezapo Na Mimi MNYAMA Unakuingia.
Halafu inaonesha wanaupenda sana, kila wakati wanautaja. Nashangaa timu inaitwa Simba Sports Club a.k.a Mnyama mkali. Hilo la mkia walilitunga baada ya kuchapwa nao kila wakikutana na Mnyama.