Sasa Wakitua Salama au Wasitue Salama Sisi Inatusaidia Nini? Ukinitajia YANGA Ni Sawa Umenitajia Rais Wa Mashetani Wote LUCIFA!
We ndo mchawi mkubwa mi hata sijui ukoje lazima mfungwe tu tena magoli mengi hutaki taga yai.
Mi bado niko na huyu mwenye kofia la blue, sijui ndio nani huyu? Kwanini kwanini kavaa hili kofia
Ikiwa Okwi anawatagisha kila siku sembuse timu aliyowahi kuchezea Okwi si ndiyo majanga.
Sasa Wakitua Salama au Wasitue Salama Sisi Inatusaidia Nini? Ukinitajia YANGA Ni Sawa Umenitajia Rais Wa Mashetani Wote LUCIFA!
Sasa Kama Rais Wao Tu Wa Klabu Na Msemaji Wao Ni Ma POYOYO Kichwani Je Wewe Unategemea MICHEZAJI Yao Iweje? Hakuna Timu Hapo!
Hilo kofia huwa wanavaa wale wanaojipanga mitaani usiku mitaa ya sinza shekilango na kinondoni.