Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa kufanya mazoezi katika eneo lao la kila siku kwa kuofia afya zao.
Baada ya kutokea kwa jambo hilo vijana waliongea na viongozi wa mtaa huo lakini akuna ushirikiano wowote walio upata, na ukizingatia akuna uwanja mwingine ambao wanaweza kutumia kufanya mazoezi yao na uwanja huo pia unatumiwa na shule mbalimbali kufanya mazoezi yao kwakuwa ndo uwanja pekee uliopo katika kata hiyo.