BlietzKrieg JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 2,882 Reaction score 2,263 Jun 13, 2019 #21 smarte_r said: kadanganye watu wasiojua kenya. kama watu wa uasin ngushu wako na mashamba kubwakubwa, kwanini eneo hilo lina migogoro ya ardhi?. View attachment 1125835. My friends there wako sorted View attachment 1125836 Click to expand... Obvious si Kila mtu 100% atakuwa nayo, Lazma erras ziwe Kila sector, All nilotes and cushite jn Kenya wako na mashamba kubwa
smarte_r said: kadanganye watu wasiojua kenya. kama watu wa uasin ngushu wako na mashamba kubwakubwa, kwanini eneo hilo lina migogoro ya ardhi?. View attachment 1125835. My friends there wako sorted View attachment 1125836 Click to expand... Obvious si Kila mtu 100% atakuwa nayo, Lazma erras ziwe Kila sector, All nilotes and cushite jn Kenya wako na mashamba kubwa
GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,909 Reaction score 10,542 Jun 14, 2019 #22 Depay said: Unadhani Tunaishi juu ya miti... Ujinga enye iko Danganyika sio kidogo Click to expand... Nimepata habari nyeti za uvunguni kwamba wakenya ni kama wakimbizi tu nchini mwao maana ardhi yote imetwaliwa na mabwanyenye ya serikali. Huku chini ninyi makapuku wala-vumbi mnaparuana kama manyang'au kusaka vipande vichache vilivyosalia.
Depay said: Unadhani Tunaishi juu ya miti... Ujinga enye iko Danganyika sio kidogo Click to expand... Nimepata habari nyeti za uvunguni kwamba wakenya ni kama wakimbizi tu nchini mwao maana ardhi yote imetwaliwa na mabwanyenye ya serikali. Huku chini ninyi makapuku wala-vumbi mnaparuana kama manyang'au kusaka vipande vichache vilivyosalia.
Mwinchumu2019 Member Joined Jun 9, 2019 Posts 59 Reaction score 99 Jun 14, 2019 #23 Safi sana! Mama zetu hao bn