Vijana wa kitanzania na ujira mdogo.

sizy

Member
Joined
Jun 14, 2010
Posts
29
Reaction score
4
nimejaribu kufanya utafiti kwa zaidi ya miaka miwili, kwa kila secta binafsi hasa hiz Telecoms company, kijana wa kitanzania ambaye anafanya kazi sawa na mtu wanayemwita expert wakati anajifunza kutoka kwa mtanzania. kwa mfano mtanzania mwenye degree ya mawasiliano(Telecommunication) range yake ya mshahara ni kuanzia 500USD -1500USD lakini kwa mtu toka India (ambao wengi ndo wamejaa kwenye kampuni hizi) same level ya Education na mara nyingine anaweza kuwa na diploma Salary yao ni kuanzia 2500USD-10000USD, na hapokodi kwa mtanzania haijakatwa. Hawa jamaa wamechukua soko letu la ajira na kutugandamiza kwani huja na kuchukua nafasi za juu za maamuzi, Waulize vijana wa ZANTEL watakuambieni. Tunatumika kwenye nchi yetu faida yote wanachukua wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…