Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Serikali ya CCM itazidi kututesa kwasababu sisi ni waoga. Taifa linajengwa na vijana sio wazee, sasa sisi tunaishia kuandika mitandaoni tu kuandamana zero
Kuandamana tunaogopa, tuna fikra potofu kwamba suala la kutetea hili taifa lipo mikononi mwa Mbowe na Tundu Lissu na sio watanzania wote. Fanya wewe uwe sehemu ya mabadiliko usisubiri Mbowe wala Lema wala Tundu Lissu inabidi tuanze Sasa hivi harakati za maandamano kuipinga utekaji watu na watu kuuwawa
Inabidi baraza la mawaziri livunjwe, hata bunge hatulitaki maana silawanainchi lenyewe lipo kwaajili ya matajiri na waarabu na wazungu tu sio watanzania
Sisi wabongo waoga sana, unaogopa kufa Kati Kila siku watu wanakufa kwenye bus, Kwenye pikipiki, Kwenye hospital wengine wanadondoka tu chooni wanakufa