Vijana wa kitanzania wang'ara mkutano wa umoja wa mabunge duniani (IPU)

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Elizabeth Milaho, Mratibu wa program kutoka Akili Tulivu Initiatives amekuwa miongoni mwa vijana wa kitanzania waliopata fursa ya kutoa wasilisho kuhusu masuala ya changamoto ya afya ya akili katika Mkutano wa 153 wa IPU unaoendelea jijini Arusha.

Elizabeth katika wasilisho lake amewaomba watunga Sera kutoka Mabunge wanachama wa IPU kujumuisha masuala ya afya ya akili kuanzia ngazi za chini hadi Taifa kwa kuwahusisha vijana katika mchakato wa kutunga Sera kutokana na kuwa ni wahanga wakubwa wa changamoto za afya akili duniani.

Your browser is not able to display this video.
 
aling'ara J.J Mnyika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…