Vijana wa kiume na kike tuwe wasafi jaman!

Vijana wa kiume na kike tuwe wasafi jaman!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara 10.naomba tubadilike bwana.
 
ah labda wanaona aibu kwenda msalani maana watu watajua walikuwa wanachachuana!!!!
 
Mwingine Wanamduu, anashindwa hata kutandika kitanda tena aliomba hifadhi tu kwa mshikaji wanaacha kitanda vuluvulu, hata hamuoni aibu?
 
hao 10 ulio waona uliwaambia??? je ulijuaje kama hawajaoga?? usipende kuchunguza maisha ya watu wengine ambao hawakusaidii!! nakushauri hangaika na maisha yako.
 
hao 10 ulio waona uliwaambia??? je ulijuaje kama hawajaoga?? usipende kuchunguza maisha ya watu wengine ambao hawakusaidii!! nakushauri hangaika na maisha yako.

ukiona imekutouch,leave me alone.
 
Kuoga au kutooga kwao kunakuhusu nini wewe.
 
Makubwa!yani ndio mkatumie chumba cha mshikaji lol!nitamshangaa huyo kijan wa kiume hawezi hata kugaramia mahali akapumzika ma mpnz wake kwa uhuru,itakuwa nyie bado pupils!
 
Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara 10.naomba tubadilike bwana.

Mmh!! yani kazi yako nikuchungulia watu wanayofanya na ukahakikisha au ni watu wako wakaribu tabia zao au unaishi karibu na nyumba za kulala wageni huko machokorani ndio ulikoona ebu mwenzetu tujuze,manake usafi muhimu kwa mwanamme na mwanamke,lile jasho peke yake la pekecha pekecha sio lakawaida sasa utoke bila kukoga hata huyo mwanamme atakurudia tena sikunyengine?
 
kama kuoga usafi taulo lisingechafuka loh. . .

Ila nawe mchunguzi, ulijuaje kama hawaogi?

All in all mtu ni afya, kama kuna watu wanaduu hawaogi waache jamani, maana wanaweza toka wakakutana na watu wakasalimiana nao kwa kushikana mikono loh.....
 
watu wako bize, chumba chenyewe wameomba, nyumba yenyewe ya kupanga wataoga wapi, acha zako hizo
 
Hahahaaaaa!!! Kuna mshakaji wetu enzi za ujana ye alikuwa bado yupo home so sie tuliokuwa tumeanza maisha tulikuwa tunampa chumba kwa ajili ya kukutana na videmu vyake!!! Alikuwa na tabia kama hizi sawia, akisha duu haogi then jamaa sijui alikuwa vipi maana ilikuwa lazima achafue shuka na hafui hata ukiziweka then umuite aje kufua haji na mbaya zaidi alikuwa na mademu tofauti tofauti!!! Tulimpiga stop aiseeee!!! Kufua uchafu wa mwenzio aaaagh!!!
 
Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara 10.naomba tubadilike bwana.

mpiga chabo mkubwa.!
 
Back
Top Bottom