ubadilike! sio tubadilike!
seems unahasira eeh!! utakoma !!!kama wewe co kijana sawa..maana me nimewalenga vijana.
Mzee anasema wakioga wanatumia sabuni yake ni bora wasioge!Kuoga au kutooga kwao kunakuhusu nini wewe.
Kuoga au kutooga kwao kunakuhusu nini wewe.
Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara 10.naomba tubadilike bwana.