miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
Habarini yeyote anaeweza kuniunganisha na vijana wawili wanisafishie eneo langu (site) lililopo mtoni kijichi tafadhali awasiliane na mimi pm. Nawahitaji siku ya j4
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ LMAO KIMFAACHO MTU CHAKE NINA KIWANJA NATAKA JENGA, MATAJIRI WA KIHAYA HATUPENDI KUSUMBUKAList:
- kanisani umewakosa.
- Jirani umekosa.
- unapofanyia kazi umekosa.
- jirani na uliponunua kiwanja umekosa.
Umekuja jamii forums....hakika tumejua una kiwanja tayari.
Vijana wapo hapa zakhem we njoo na vitendea kz njoo pm. Hata kama huna vipo vya kukodiHabarini yeyote anaeweza kuniunganisha na vijana wawili wanisafishie eneo langu (site) lililopo mtoni kijichi tafadhali awasiliane na mimi pm. Nawahitaji siku ya j4
Sent using Jamii Forums mobile app