Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
 
Nilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…