KERO Vijana wa Mradi wa BBT wadai kutelekezwa na Serikali. Wasema wanaishi kwa mateso na mashaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mengine ni hayo Yako yanahangaishwa huko kwenye maandamano eti Wanasiasa watafanya maisha Yao yawe mepesi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
washaiona fursa hawa viongozi wako after tumbo zao mzee walioko shambani unawaacha kuwaendeleza unachukuwa wa mjini uwapeleke shamba hhaahaa wanajitahidi kujenga vizazi vyao hata wasipokuwepo wawe wameweka misingi.
 
sasa Bashe anafanya kazi chini ya nani? hio ni ccm mkuu ndio ulaghai wao ni namna mpya ya kupiga hela za watanzania.
Wana CCM wanakwambia mazuri si ya waziri au DC peke yake moja kwa moja ni ya mama ila lawama ni za waziri peke yake.
 
hawataki ndio maana nlise
Wana CCM wanakwambia mazuri si ya waziri au DC peke yake moja kwa moja ni ya mama ila lawama ni za waziri peke yake.
ma si yupo chini ya mama hivyo mama anaupiga mwingi
 
Pesa wamegawana pia au?
 
Kuna yule sifia sifia Lucas Muoshambwa hapa hutomuona akichangia wala kutoa ushauri [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hakuna kitu kibaya Kama kijana kukubali kumsikiliza mwanasiasa na kuziacha ndoto zake

Poleni Sana vijana
Hii ni kweli kabisa ukiwaona hao vijana wa Uvccm ambao wengi ni graduates wa vyuo
Wanajitutumua kuvaa mashati ya kijani

Kupiga picha na madisii
Nakuwapost Instagram na status na kuandika "mheshimiwa mkuu wa wilaya mtu bingwa...."
Unaona kabisa huyu kijana ameweka imani yake kwa mwanasiasa

Akiamini na yeye iko siku ataukwaa udisii au udas[emoji3]

asijue hivi vitu ni connection tena connection haswa!

Ni vijana wachache sana wanajua wako uvccm kwa sababu zipi.

Wengi ni kama hawa waliopelekwa chinagali kulima.

Ni aibu
 
Maghayo waambie ndugu zako waache utapeli
 
Serikali ingetafuta masoko ya uhakika ya mazao yetu

Kilimo kikilipa watu tutalima tu
 
Mlimcheka Mr KUKu na Wakajikausha shida za JATU sasa veepe
 

Huyu Bashe huwa najiuliza alipewaje huo uwaziri? Hana sifa huyo hata hao wanyamwezi wa hapo Nzega washamchoka sema hela anayotembeza na kuwachinjia ng’ombe ndo inamsaidia kurudi Bungeni; na huo mradi CAG aukague lazima atakuta upigaji, maana pale Chinangali hakuna hata Mhindi au ulezi uliolimwa, siku zote wanajenga fensi tu!! Hakuna trekta wala jembe la mkono linalopigwa pale! Hamna kitu pale. Mama Samia amfute kazi huyu jamaa ili wauchunguze vuzuri huu mradi na atiwe nyavuni ikionekana kuna upigaji.
 
Hii Awamu faida ya miradi ipo kwenye MIRADI....

Kama haujanielewa utaniuliza nitakuelezea - (In short hapo wafaidika washaondoka na Faida yao kinakachobakia ni Mradi kama huu kufa kifo cha Kawaida)
 
khaa, sasa unadhani unajilimia tu kama una shetani kichwani? unafundishwa namna ya kulima kisasa kutumia vitu vya kisasa kunyweshea wengine bila kufundishwa hawakuwa wanajua
Iko hivi, wako vijana wengi sana vijijini ambao tayari wamejiajiri kwenye kilimo na wanakijua hivyo wala hawahitaji kufundishwa. Wanachohitaji ni uwezeshaji tuu, tena wa vifaa, miundombinu, na pembejeo. Ardhi tayari wanayo wenyewe. Nikiwa Katavi, huko vijijini wilaya ya Tanganyika kwenye mishe mishe zangu vijana zaidi ya 30 walinifuata kutaka kujua jinsi ya kujiunga na hiyo programu. Wote walikuwa na mashamba yao kuanzia ekari 2 mpaka 10 wengine na ni wakulima wazuri tuu wa mazao mbalimbali kama mahindi, mpunga nk. Nilijaribu kuwaunganisha na wahusika lakini bahati mbaya hakuna hata mmoja aliyechaguliwa. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba hii programu kosa la kwanza la wazi kabisa ni kuacha kuanza na vijana wenye uzoefu na kilimo na kutoa vijana wa mjini wasio na uzoefu na kazi ngumu za shamba.
 
Sio wewe ambae ulianzisha uzi humu ukisifia huu mpango na kumwaga mapambio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…