Natumai hamjambo wajumbe wa MMU
Wakuu nimekua nikishangazwa sana na hii tabia ya vijana wa mtaa walioishia form 4 na darasa la 7B, hawa vijana wakibahatika kudate na wadada wa chuo wanajisifia na kuwavimbia wenzao kitaa.
Cha ajabu hawa vijana wa mtaa wanapigwa pesa ndefu sana na hawa wadada bt hilo hawajali wao wanataka wapate sifa tu kitaa ya kudate na mwanachuo.
Laiti mngelijua mnaowashobokea ni wadangaji wasio chagua rika wanatembea hadi na vibabu sidhani kama mngepoteza mda wenu vile.
Niwajuze tu vijana wa mtaa kua wadada wengi wa vyuoni wanadanga kuliko hata wadada wa mtaani hivo acheni kuwashobokea hivo, wapo wachache wanaojielewa bt hao si rahisi kudate nanyi vijana wa mtaa.
Wadada wa chuo msinipopoe nilikua nawakumbusha jambo tu vijana wa mtaa.