johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo hii ndio sababu ya kuwalaza mahabusu Mbeya?Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa
Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza sana ndio sababu Watanzania wanaongoza Kwa Uvivu wa nguvu na kufikiri Barani Africa kila kitu Wanataka wafanyiwe
Sisi tunaoelewa Upinzani wa bongo tunajua kabisa hata Mbowe na Msigwa hawana ugomvi wowote ni Marafiki wakubwa tu na boss wao ni Mmoja
Vijana someni Sayansi na Teknolojia achaneni na Uchawa
Ahsanteni Sana 😂🔥
Jo sikutegemea kuwa una mawazo mgando kiasi hiki.Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa
Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza sana ndio sababu Watanzania wanaongoza Kwa Uvivu wa nguvu na kufikiri Barani Africa kila kitu Wanataka wafanyiwe
Sisi tunaoelewa Upinzani wa bongo tunajua kabisa hata Mbowe na Msigwa hawana ugomvi wowote ni Marafiki wakubwa tu na boss wao ni Mmoja
Vijana someni Sayansi na Teknolojia achaneni na Uchawa
Ahsanteni Sana 😂🔥
Huruma!!! Ni shinikizo la WB na IMF wewe!Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa.
Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza sana ndio sababu Watanzania wanaongoza Kwa Uvivu wa nguvu na kufikiri Barani Africa kila kitu Wanataka wafanyiwe.
Sisi tunaoelewa Upinzani wa bongo tunajua kabisa hata Mbowe na Msigwa hawana ugomvi wowote ni Marafiki wakubwa tu na boss wao ni Mmoja.
Vijana someni Sayansi na Teknolojia achaneni na Uchawa.
Ahsanteni Sana 😂🔥
Subiri Awadh afike hapo juu ndio utajua HujuiJo sikutegemea kuwa una mawazo mgando kiasi hiki.
Hizo theories zako za kila siku tumeshazizoea usifikiri kila mtu ni mgeni kwenye siasa hizi.. Tatizo Jo unaona kama wewe ndiye mwanzilishi wa mifumo hii, you are not, unasikia kama tunavyosikia sisi na mengine tunayajua pia.Subiri Awadh afike hapo juu ndio utajua Hujui
Yaani hawa maafisa akina Freeman waisumbue Serikali kwa kujitoa ufahamu hawezi kuwaruhusu
Sidhani kama utaelewa lakini 🐼
😂😂😂😂Hizo theories zako za kila siku tumeshazizoea usifikiri kila mtu ni mgeni kwenye siasa hizi.. Tatizo Jo unaona kama wewe ndiye mwanzilishi wa mifumo hii, you are not, unasikia kama tunavyosikia sisi na mengine tunayajua pia.
Wewe kenua tu lakini hizo nadharia zako zimepitwa na wakati.😂😂😂😂
Acha uongo .usukani ulishahama toka kulia kwenda kushoto ukichanganya na wakubwa wa dunia hii ikawa hakuna pa kutokeaNdio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa.
Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza sana ndio sababu Watanzania wanaongoza Kwa Uvivu wa nguvu na kufikiri Barani Africa kila kitu Wanataka wafanyiwe.
Sisi tunaoelewa Upinzani wa bongo tunajua kabisa hata Mbowe na Msigwa hawana ugomvi wowote ni Marafiki wakubwa tu na boss wao ni Mmoja.
Vijana someni Sayansi na Teknolojia achaneni na Uchawa.
Ahsanteni Sana 😂🔥
Wasiwasi wangu Awadh akiwa IGP huu Ujanja Ujanja wa Chadema utafika tamatiWewe kenua tu lakini hizo nadharia zako zimepitwa na wakati.
Kamdhamini shamba boy Mbeya 🐼Bora Mazaa a.ko angepiga BJ.
Hujawaona wanaopiga kelele wakipewa nyama wananyamaza. Sometimes unaweza kudhani mtu anapiga kelele lwa ajili ya watanzania kumbe anatengeneza career yake ya siasa au la kupata pesa za wahisani kama champion wa demokrasia..Huwa nawashangaa sana na kuwahurumia watu wanaohangaika na kuweka maisha yao rehani kwaajili ya watanzania!! Watanzania sio watu wa kuhangaika nao, ni wa kuachwa kama walivyo.
Ili wewe uende wapi?Huwa nawashangaa sana na kuwahurumia watu wanaohangaika na kuweka maisha yao rehani kwaajili ya watanzania!! Watanzania sio watu wa kuhangaika nao, ni wa kuachwa kama walivyo.
Pia WEWE kwa umri wako hujui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mezani kwenye bahasha bila tone la PANYA BUKU kumwagika.Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.