Vijana wa sasa (Bavicha) hawajui kuwa Upinzani nchini ulipatikana kwa Huruma tu ya Nyerere (CCM). Ujamaa ulikuwa kama Dini!

Hapo ndio akili Yako imefikia mkuu.

Kula protine na vyakula vyenye vitamins nyingi pamoja na vile vyenye kuboost brain power bila kusahau omega 3. Siamini umekuwa na akili ndogo hivi.
 
Punguza u-moron wako,huruma yake au mgandamizo wa kitawala duniani
 
Wewe Mzee Iko siku utang'atwa bure na hao Germany shepherd wako uliofuga.

Hao Mbwa huwa hawataki uongo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…