Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Ebwana jana Alhamisi mida ya saa7 mchana nilikatiza maendeo ya Tandale nikiwa naelekea Sinza ebwana nilikutana na lundo la watu wasiopungua 30 wakiwa katikati ya barabara wakidai eti wamefiwa wanasimamisha magari wanadai michango!
What a new style!!
Waliponisimamisha nikajua ni panyaroad nikajipanga aidha kugonga au kufa na mtu palepale eti "Brazaaah tumefiwa na mwanetu tunaomba mchangoooo hatuelewi kabisa "
Aisee nilikasirika nikatoa jero nikawapa na kunyoosha mana nilijua endapo tukiendeleza malumbano lolote lingeweza kutokea!
My take wakazi wa Tandale wakanyeni watoto wenu tafadhali waache ujinga next time hatutasimama tutagonga na kusepa.