Vijana wa XXL wamsema vibaya mjukuu wa Ambua kuhusu mavazi yake usiku wa tuzo za Kili

mfukunyunzi

Senior Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
142
Reaction score
26
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!!
nasikia nimesemwa vibaya leo
kwenye radio.. wamenisema
vibaya kuhusu mavazi yangu
kwenye KILI MUSIC AWARDS
dah... Ila me hakimu wangu ni
MUNGU pekee coz yeye ndiye
mpangaji wa kila kitu kwenye huu
ulimwengu.. (MUNGU ndiye
mgawaji wa rizk na kila kizuri ama
kibaya kwa mwanadamu na yeye ndiye aliyeninyima hayo mavazi
mazuri mpaka nasemwa vibaya
tena na VIJANA wenzangu dah..!!)
 
.........walitaka avaaje? kisharobaro kama wao. suruali matakoni??. CRAP
 
stupid sasa hivi ndo vitu gani?????????????????????????????????????????????? who is ambua???? what is xxL?????:smash::smash:
 

vitu vingine sio vya kuandika hapa
 
Abdallah Hamis Ambua: sidhani
kama itakuwa busara kaka lakini
ni watangazaji ambao
wanajulikana na ndio mana
walichanwa kwenye ANTI
VIRUS
 
Nimesikia kwenye redio wani leo asubuhi kuwa sharobaro tafsiri yake ni mwanamke mrembo au mwali aliyejipodoa vilivyo akiwa anasubiri mumewe.
 
AMBUA ni kitu gani jamani,
define kila kitu kwenye sred yako
 
Who the hell is the Mjukuu wa Ambua
 
stupid sasa hivi ndo vitu gani?????????????????????????????????????????????? who is ambua???? what is xxL?????:smash::smash:

vitoto vingi humu!!! vinajuana kwa lugha na vijineno vya rika la balehe na kuvunja ungo
 
XXL wa clouds lazima wa´mchukie Abdalla maana amekuwa tishio kwao kwa kipaji chake. Pia dogo habagui wanamuziki kwenye kipindi chake tofauti na clouds. Sasa clouds wakimsusa msanii flani, yeye Abdalla Ambua anamwinua kitu ambacho clouds FM wanapinga kwa nguvu zote.

Abdalla usikate tamaa, we all know that clouds FM tries to bring you down ili waendelee kutawala wanamuziki wa Tanzania.

Piga kazi, wacha maneno.
 
duh jf imeanza kupoteza mvuto yaani topics za ajabu sana siku hizi ziko humu ni ushauri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…