Vijana wa XXL wamsema vibaya mjukuu wa Ambua kuhusu mavazi yake usiku wa tuzo za Kili

Kwa wale wazee, wasio jua misemo ya kisukuhizi, ni kwamba, KUna kipindi kwnye clouds FM kinaitwa Kubwa kuliko a.k.a XXL , Hicho kipindi kinaongozwa na mtangazaji ,muuza sura Hamisi Mandi a.k.a B12 /BDozen (nasikia ni Mhaya ndugu na Ruge , basi hapo kama clouds yake) , kikiwa na co presenters Fatma Hassan a.k.a DJ Fetty , Adam Mchomvu na wengine sikumbuki .

Kwenye hizo kipindi ambacho hurushwa live mchana kwnye radio yao, kulikua na majadiliano ya kuhusu uvaaji wa macelebrity siku ya Kilimanjaro Music Award, ndipo walipo mtaja huyu Abdallah KHamis Ambua a.ka. Mjukuu wa Ambua ,kua hakupendeza na alikua kachemsha kwney uvaaji.

Nashindwa kumuelewa huyu Mjukuu wa Ambua kwanini anaonysha a uswahili namna hiyo , hata kama hao kina B12 ni wapinzani wako still walikua na kila sababu ya kukusema sababu kweli ulichemka ukilinganisha na wengine walio kuwepo hapo.

Still nakufagilai sana kwa kuto bagua kama hawa wauza sura wa Clouds , wenye tabia za kike , wao mbaka uwe handsome boy na ulale nao tena mmoja wao kwe XXL anapenda sna ma sharobaro na huwa wataka kijanja wamna nihiino, kama umesona hii bisha wewe wa xxl unajijua. KUna vijana una waleta home kwako na unawashika uume bisha.
 

Ebana eeeh!
Duh!
 
nabisha ni uongo wenye lengo la kuchafuana,binaadam bwana:disapointed:
 

Clouds Fm yao majungu wivu na fitna. Ambua awapuuzie tu hao Masharobaro
 
Chuki binafsi tu...................clouds si ndo hao aliowachana sugu aka mr.2
 
Mjukuu wa Ambua ndo mdudu gani jamani!
 

mi mwenyewe nshamckiaga!!
 
umeona eeeeeeeeeeeeeh kama huelewi kuna topics nyingi tu waweza kwenda huko''u stupid u thnk kwamba ukijdai hujui kinachoendelea kwa mamaako na babaako mzazi nani anakujua ww? wabongo acheni kujifanyisha'keep it up dude dunia ni battle ground'
 
Hawa vijana wa clouds ni mapretender, wanataka kuact kama kina ryan seacrets wa marekani kitu ambacho hakiwezekani.
 
ndo maana jf imegawanyika kama unaona ii mada haikufai unaawaachiia wengine sasa unataka kubisha kuwa mjukuu wa mbua sio staa wa bongo?labda we ndo staa, kweli wale wavaa suruali chini ya kiuno walimpaka na wana jf tuna haki ya kuwakemea ok!
 
tatizo la wabongo wanapenda kusifiwa ol the tym..sasa kama wameona hajapenda wasiseme?anachotakiwa ni kuwapotezea na kusonga mbele..
 
ngoja nirudi zangu kwenye jukwaa la siasa naona nimepotea njia
 
Mmmh mbona hakuna ubaya ktk alichovaa?

Tena mi naona kapendeza sana. wale wehu wa xxl walikuwa wanataka avae vijinzi ka skin tight na vikoti vya single button maana hiyo ndo imekuwa uniform ya mafala wa mjini. Mjukuu wa Ambua achana nao hao majuha, mmoja msengerema, mmoja kadumaa tangu alipotimiza miaka kumi anakua nywele tu, mmoja kafanana na mashoga wa kisomali na mwingine anajifanya rapper sijui mc hovyooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…