Hivi wana JF kuna anayekumbuka zile enzi zetu za u-bitoz mabugi kwenye kumbi kama The New Palace, Splendid, The Margots, Anatoglo, Princess, Bahari nk?? Bendi za The Sparks, The Tonics, The Revolution, Sunburst, Less Trippers [kabla ya kina marijani].
Nitafurahi sana kusikia kuwa baadhi ya wana JF ambao walikuwepo zile enzi.