Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Afcon 1980 Pan Afrika ilitoa wachezaji wengi kwny kikosi sababu ya uwekezaji kwny soka la vijana uliofanya klabu Young Africans!!
Katikati ya miaka 70 Yanga ilikua na timu ya vijana yenye vipaji na ubora wa hali ya juu na iliibua vipaji vikubwa hawa kina Juma Pondamali, Mkweche, Jella Mtagwa, Leodgar Tenga, HusseiNgulungu,Tino,Tostao,Mapango,Muhaji Muki,Kasimu Manara nk..
Baaada ya mgogoro mkubwa 1975 uliozaa Yanga Raizon na Yanga kandambili uongozi ukagawanyika wale Raizon(wenye pesa,Tabu Mangala,Shirazi) wakaamua kuondoka na wakaondoka na baadhi ya wachezaji wa timu kubwa na wakachukua na timu ya vijana wakawapeleka Nyota Afrika 1976 na baadae 1977 wakaipandisha Pan Afrika na wachezaji wote wakaondoka nao!!
Kupitia generation hiyo mwaka 1980 tukaenda Afcon!!