Vijana kuandaliwa kuwa viongozi bora serikalini.
Tanzania ijayo inapaswa kutambua uwepo wa vijana wahitimu katika elimi ya juu kwenye suala la kupata ajira serikalini hasa katika kila sekta za uongozi.
Serikali yetu inapaswa kuajiri kwenye kila ofisi au sekta iwepo na kijana, maana sekta zote zinashikwa na wazee tu na vijana wanaambiwa wajiajili baada ya masomo. Hii sio sawa.
Mabadiliko serikali inapaswa kufanya:-
👉Serikali inatakiwa kuajiri wahitimu katika kila sekta ya uongozi . Yaani kila kitengo awepo mzee na chini yake awepo kijana msaidizi wake. Mfano, Awepo waziri mkuu basi awepo waziri mkuu kijana msaidizi, awepo waziri wa elimu mzee na chini yake awepo waziri wa elimu kijana msaidizi, Awepo Mbunge mzee chini yake awepo mbunge kijana msaidizi jimbo hilo hilo.
👉Lengo ni kubalansi mzani kwa wakongwe viongozi ambao hawataki kustaafu na vijana wanaoingia serikalini kama wasaidizi chini yao, hao vijana watafanya kazi chini ya wakongwe huku wakipata uzoefu ili kuchukua nafasi hizo kubwa miaka ya mbele wakiwa wamekamilika kuongoza.
👉Hii itafanya hapo kuongeza ajira na kutopoteza vipaji na elimu ya vijana waliosomea chuo na kuhitimu.
👉Hii itaongeza amani na upendo katika nchi ,sababu ikitokea vulugu katika nchi , ni rahisi vijana kwenda kuwatuliza vijana wenzao tofauti na mzee aliyekula chumvi nyingi serikalini.
👉Hii itaongeza mwanga kwa Tanzania ijayo maana vijana hao kwa kila sekta watakayokuwepo watakuwa tayari wazoefu katika kuongoza nchi hapo baadae.
Nb. Tuandae vijana leo katika uongozi na uzalendo ili kesho waje kuongoza taifa kwa usahihi.

Upvote
1