Pre GE2025 Vijana wachoma nyama Mbande, waomba bendera za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Wakuu

Vijana Wachoma Nyama Mbande Mkoani Dodoma wapaza Sauti kwa Rais Samia na Kumwomba Siku Moja apite Mbanda wanapochoma Nyama awashike Mkono kwa kile wanachokifanya, Vile vile pia wametambua Mchango wa Serikali kwenye Miradi yote iliyofanyika, Na pia Wameomba Wapatiwe Bendera za Chama Cha Mapinduzi Katika Sehemu Yao ya Biashara wanapouzia Nyama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

IMG-20250219-WA0072.jpg
 
Ipitie kwa Lucas Mwashambwa
 
Kwa hakika hao vijana ni wazalendo sana na wanapaswa kusaidiwa na kupewa ushirikiano
 
Ombi limepita,andaa proposal na beberu🐐 aliyenona kama zawadii
 
Wakuu

Vijana Wachoma Nyama Mbande Mkoani Dodoma wapaza Sauti kwa Rais Samia na Kumwomba Siku Moja apite Mbanda wanapochoma Nyama awashike Mkono kwa kile wanachokifanya, Vile vile pia wametambua Mchango wa Serikali kwenye Miradi yote iliyofanyika, Na pia Wameomba Wapatiwe Bendera za Chama Cha Mapinduzi Katika Sehemu Yao ya Biashara wanapouzia Nyama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hao ni mateja wa unga au vijana?
 
Workmate wangu anavyopenda kula nyama pale Mbande wakati tukisafiri kikazi, sidhani kama atakula tena zile nyama. Nina uhakika hii taarifa itakuwa imemkasirisha sana.
 
Ukipata kanafasi tumia walau na wewe ulambe asali.

Usiwe kama kina mwashambwa na mwenzie tilatila sijui tratra, hawa wana uvumilivu sana muda wao wa kulamba asali haujafika.
 
Back
Top Bottom