Vijana Waliofanya Mapenzi na Mbuzi, Kuozeshwa Mbuzi

Vijana Waliofanya Mapenzi na Mbuzi, Kuozeshwa Mbuzi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
4148094.jpg


Vijana wawili wa nchini Msumbiji ambao walikamatwa wakifanya mapenzi na mbuzi wamefikishwa mahakamani lakini mmiliki wa mbuzi huyo anaitaka mahakama iamuru vijana hao walipe mahari na waozeshwe mbuzi huyo. Gazeti la serikali la nchini Msumbiji limeripoti kuwa vijana wawili wanaotuhumiwa kufanya mapenzi na mbuzi watapandishwa kizimbani kwa makosa ya jinai lakini mmiliki wa mbuzi huyo anataka taratibu za kimila zifanyike na wanaume hao waozeshwe mbuzi.

Vijana hao wawili ambao majina yao wala umri wao haukutajwa, walikamatwa na polisi wakifanya kitendo hicho katika mji wa Mbucuta uliopo ukanda wa kati wa Msumbiji.

"Mmoja wa vijana hao alikuwa uchi akikishikilia kichwa cha mbuzi wakati kijana mwingine alikuwa akifanya mapenzi na mbuzi huyo", alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, Mario Creva alipokuwa akiongea na radio Msumbiji.

Mwendesha mashtaka wa serikali amesema kuwa vijana hao wawili watapandishwa kizimbani hivi karibuni.

Lakini mmiliki wa mbuzi huyo anaweza akafungua kesi nyingine akitaka vijana hao waozeshwe mbuzi huyo.

Mmiliki wa mbuzi huyo anataka vijana hao walipe fidia kwa uharibifu wao na kisha waanze taratibu za kitamaduni kwa kulipa mahari kabla ya kuozeshwa mbuzi huyo.
 
Nadhani hii ni Bangi, ole wenu mnaovuta Bangi kuna siku mtajawaona mbuzi warembo ajabu.
 
Inaelekea msumbiji wanawakle ni adimu sana.Nawashauri hao vijana waje TZ maeneo ya uswazi palipo na warembo motomoto otherwise watajalala na mbwa ambapo ni hatari ukizingatia kuwa wanapofika kileleni hulazimika kugeuka opposite side.
 
Hao vijana inaelekea walikosa wanawake, ndio maana wakaamua kujaribu kwa mbuzi kama watapunguza hamu, lakini nina wasiwasi kama kweli wana akili timamu, naomba wakapimwe kwanza!
 
Jamani....
Hivi huu ukatili kwa wanyama utaisha lini?

Nadhani hii ni Bangi, ole wenu mnaovuta Bangi kuna siku mtajawaona mbuzi warembo ajabu.

Inaelekea msumbiji wanawakle ni adimu sana.

Naona jamaa walikuwa na ukame wa mda mrefu sana kila wakitongoza wanapigwa vibuti wameamua kumalizia hamu zao kwa mbuzi dah hii adhabu ya kuwaozesha mbuzi ni nzuri sana maana huyo mbuzi hafai hata kuliwa kama wamepata na ujauzito hapo ndo balaa tena.
 
Back
Top Bottom