🙁 Hii inashangaza,kama itakuwa kweli basi ni ajabu,jamani nipatieni majibu hivi wale washindi wa vodacom soccer academy ambao tuliwapigia kura ktk mwaka wa 2008,yule Mzanzibar & wawili wa mbeya(mmoja akitoka mby mjini & mwingine wilaya ya mbozi-mbeya) wako wapi? na lile shindano lilikuwa amka-lala au linaendelea? NIPENI MAJIBU...