Vijana walioko Mitaani kwa nini wasipewe kufanya zoezi la Sensa?

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,039
Reaction score
2,840
Wapo vijana wengi mitaani wenye elimu nzuri tu na uadilifu kuliko hata waalimu. wako mitaani hawana kazi ya kufanya kwa sababu Serikali yao haiwatumii. Zipo kazi nyingi tuu kama vile za NIDA kuwapatia watanzania vitambulisho hadi leo hakuna kitambulisho' Zoezi la SENSA vijana hawa wangetafutwa wakapewa semina wanaweza kufanya hii kazi vizuri sana hata kuingiza data kwenye Kompyuta. Lakini hakuna wa kuwasemea japo wanajulikna wapo. Waalimu tayari wana Ajira yao. Kwa nini kuwapa kazi nyingine wakati wanatakiwa wawe kazini. Yaani serikali inaona bora shule zifungwe waalimu wapate kazi hii ili wasigome. Poleni vijana wa Tanzania.
 
mmoja alipitia dirishani alikosea kwenye uchaguzi hawana mwamana.....
 
mkuu naona hili suala la sensa linakuumiza sana kichwa,usikate tamaa kiasi hicho, mlango ukifungwa dirisha hufunguliwa
 
2meshachangia sana thread ka hii..thngs has alread been settled, ther is nthng we kan do about it..pole wewe na pole mimi.
 
Siku zote aliyenacho ndiye anaongezewa, asiyenacho hata kile kidogo cha kwake hunyang'anywa hususni kwa Serikali kama yetu hii ya Tanzania.Hili ndiyo tatizo la kutomjari mnyonge.
 
nami naongeza hapo huyu jamaa anamatatizo ya kutoelewa kabla hajapewa mfano.walimu wala hawahitaji pole kwani kuwa na mshahara mdogo ndio kipimo tosha cha kukufanya uchakalike utafute kipato zaidi.hivi ulishajiuliza ingekuwaje kama walimu wangekuwa wanalipwa Tshs 3000000/=kwa mwezi hivi kazi ingefanyika kweli kama si kulala baa na kuoa wanawake wengi wala si utani miongoni mwa sekta ambazo wafanyakazi wake wanapenda maisha mazuri zaidi basi walimu wako mstari wa mbele.so usiwadis sana walimu please!
 
i love teacherz..mwah mwah mmmhwaaaA
 
I like it, what's your proffessional my friend? Are you done with college

am language expert.. I did b.a languages, am luking 4 a permanent employment, so far am aving a temporary one in one ov our tanzania media houses..hope i av kindly replied to ur query!!
 
Wapo vijana wengi mitaani wenye elimu nzuri tu na uadilifu kuliko hata waalimu. wako mitaani hawana kazi ya kufanya kwa sababu Serikali yao haiwatumii. Zipo kazi nyingi tuu kama vile za NIDA kuwapatia watanzania vitambulisho hadi leo hakuna kitambulisho' Zoezi la SENSA vijana hawa wangetafutwa wakapewa semina wanaweza kufanya hii kazi vizuri sana hata kuingiza data kwenye Kompyuta. Lakini hakuna wa kuwasemea japo wanajulikna wapo. Waalimu tayari wana Ajira yao. Kwa nini kuwapa kazi nyingine wakati wanatakiwa wawe kazini. Yaani serikali inaona bora shule zifungwe waalimu wapate kazi hii ili wasigome. Poleni vijana wa Tanzania.

hapo mkuu kinachofanyika ni kwamba serikali inatambua sana kwamba vijana wengi hawana ajira. Lakini pia inatambua wazi kuwa haiwezi kumpa kazi njeti mtu asijekuwa na dhamana kama hao vijana. Kwa mfano ikitokea uharibifu wowote huyo kijana watambana vipi?
Kwa hiyo amini usiamini hata hao walimu lazima kuna vigezo vitahitajikaka k.m tsd namba
upo mkuu?
 
Back
Top Bottom