Vijana waliozaliwa kuanzia Miaka ya 90 ndiyo watakomboa hili taifa

Mabadiliko karibia yote duniani yameletwa na vijana .

Refer Uhuru barani Africa , How old was mwalimu, Mandela, Walter sisulu , And the so like.

Arab Spring ...
 
Kizazi cha hovyo sana ni cha 2000 na 90s ni cha hovyo kupata kuona hata kuandamana kwa kawaida ni waoga kupita maelezo hicho kizazi ni kama kuku za broilers usikitegemee kabisa.
 
Kizazi kitakacholikomboa hili taifa ni kuanzia 2010
Hao Vijana WA 90 wengi ni YangaVs Simba, Diamond Vs Alikiba, Wazee WA betting, watalikomboa taifa lipi?
 
OLD is GOLD, Jisahaulishe huku ukijua kabisa rangi ya bendera yetu haijabadilishwa.
 
Yaani hawa wanaovutiwa nakushawishika kirahisi kutoka kua normal human na hatimae kuwa abnormal na hatimae kuolewa au kuoa? Na hawana nguvu kijinsia? Kubeti, Twitter, matusi na Instagram wamuachie nani? Singeli na vigodoro je 🤓. Hivi wanaweza hata kua panyaroad wa baadae hawa?
Wako drived na negative meanses za success kupata positive success. very simple to recruit them, hawapendi kitonga kabisa, wanataka tu mserereko.
Check wanaobainika na matatizo jeshini, police, vyuoni, maofisini au mtaani yaani ni aibu they can't do anything.
 
Tunaitwa kizazi cha .com
Vijana wa 90s tuna akili sana,
Huwa tunakwenda kulingana na mda unavyoenda.big up 90 generation
 
Mimi kama mzee wa zaidi ya miaka 80 nakubaliana na wewe kabisa.siku zote ukombozi huletwa na vijana.vijana chukueni hatua kukataa uovu wa serikali.msikubali nchi yenu kuuzwa.
 
Hawa wanaopumuliana visogoni kama wendawazimu?????

Maana asilimia kubwa ya mipunga ni kuanzia 90 kuja juu.

Ukombozi pekee watakaofanya ni wa kutetea haki zao za kubanduana jinsia moja na kuoana wenyewe kwa wenyewe.
 
Sisi wa 90s huwa hatuogopi kufanya
Kila kitu tunajaribu ndo maana tunamafanikio.
 
Vijana wa 90s asilimia 90 (ke+me) wanajua kupaka poda, kusuka, kutoboa pua na kuweka vipini, kutwerk, kupost picha mitandao ya kijamii na kula chips basi. Hakuna jingine. Ukombozi utakaoletwa na hawa wa 90s labda wa kupata wa ruhusa ya mwanaume kuolewa tu basi, sidhani kama kuna cha maana zaidi.
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…