Vijana wamechoka kutupiwa lawama

Hao Wazee wenzangu wangejitahidi wawapishe Vijana hizo ofisi zao nao wapate hizo ajira.

Mbona mwenzao nimestaafu zamani saivi nalima zangu Korosho tu huku Kusini [emoji2957]
Sasahivi yeyote atayeniambia nijiajiri, namwambia anipishe nikae nafasi yake,
Yeye aje nafasi yangu ya ujobless na atuonyeshe namna ya kujiajiri.
 
Sasahivi yeyote atayeniambia nijiajiri, namwambia anipishe nikae nafasi yake,
Yeye aje nafasi yangu ya ujobless na atuonyeshe namna ya kujiajiri.
Hahaha...............nimekumbuka stori ya Mkuu wa Mkoa fulani alikuwa anawaambia Vijana wajiajiri lakini baada ya kupigwa chini na JPM naye akaanza kulia lia eti ana familia na watoto wanamtegemea.

Ndiyo uone ujobless ni mgumu kiasi gani

Njoo Vijijini ulime na Babu yako huku 🤪
 
Wanatuambia tulime
Tutalima vipi bila mbolea?
Tutalima vipi huku tuna njaa?


Naona serikalini itoe matamko kwa vitendo.
Wote walioajiriwa na serikali,waache kazi
Waje kutuonyesha kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…