Una taka ugomvi na akina Nape 😅Wanatuambia tulime
Tutalima vipi bila mbolea?
Tutalima vipi huku tuna njaa?
Naona serikalini itoe matamko kwa vitendo.
Wote walioajiriwa na serikali,waache kazi
Waje kutuonyesha kwa vitendo.
Oxygen inapungua kila siku kumbe vijana ndo wanamaliza[emoji28][emoji28][emoji28]ila bongoVijana nendeni shambani mkalime
Vijana msisubiri kuajiriwa
Vijana hawatumii akili
Vijana wamaliza oxygen [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana hawajitambuiView attachment 2791200
Waambie bhana wasitugeuze jalala la kutupia lawama.Vijana nendeni shambani mkalime
Vijana msisubiri kuajiriwa
Vijana hawatumii akili
Vijana wamaliza oxygen [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana hawajitambuiView attachment 2791200
Pm yangu nilifunga.To u saint Anna habari yako najaribu kukutext naona nashindwa nashida sana na wewe
Wanataka vijana tufe Kwa stressWaambie bhana wasitugeuze jalala la kutupia lawama.