Vijana wanahitajika kwa ajili ya usaili wa sauti (voice talent auditions)

Vijana wanahitajika kwa ajili ya usaili wa sauti (voice talent auditions)

Gmanyi

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya kurekodi bidhaa zetu utakaofanyika Jumamosi Tarehe 20/06/2015 maeneo ya Ubungo-Urafiki.Kushiriki,tuma jina na namba yako ya simu kwenda 0655461725.Tutawasiliana nawe kwa maelekezo zaidi.Wajulishe na wengine.
 
Back
Top Bottom