DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela, hii inaua connection kwa haraka sana.
Haya mambo sita unabidi kuyazingatia kijana
Kuhakikisha unakuwa Giver na sio taker.
Self improvement -jifunze namna ya kuwasiliana na Kuwasilisha jambo kwa lugha inayoeleweka.
Mungu - kuwa na misingi inayoenesha unazingatia uwepo Wa supernatural power.
Hakikisha wale watu wako muhimu hauwaombi hela bali kazi tu ,usiombe hela utaua brand mapema Sana.
Uaminifu - hakikisha unakuwa mwaminifu usiibe hata 50 ya MTU
Kushukuru - Gratitude iwe unafanya kila Siku