DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Copy and pasteKwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela ,hii inaua connection kwa haraka Sana.
Haya mambo sita unabidi kuyazingatia kijana
@ Kuhakikisha unakuwa Giver na sio taker.
@ Self improvement -jifunze namna ya kuwasiliana na Kuwasilisha jambo kwa lugha inayoeleweka.
@ Mungu - kuwa na misingi inayoenesha unazingatia uwepo Wa supernatural power.
@ hakikisha wale watu wako muhimu hauwaombi hela bali kazi tu ,usiombe hela utaua brand mapema Sana.
@ Uaminifu - hakikisha unakuwa mwaminifu usiibe hata 50 ya MTU
@ Kushukuru - Gratitude iwe unafanya kila Siku
In long run benefits you will end up being broke or you will lost Peace of mindUtaua brand gn wakati huna pesa.?
Watakuaje Giver wakati hawana cha kutoa.?
Mm nawashauri watafute njia wanazoona ni rahisi kufanikiwa, kama ni ujambazi bc wafanye hvy.
Sasa ndo inakwamisha kutoboa vijana wengi.Dogo ukimsaidia , anakuja tenaa mbaya zaidi anakuja na uongo mpya kila siku apate pesa.
Dogo mmoja anakuambia nipe 10k kesho nakupa ila ndio kibati , baada ya mwezi anakuja tena.
HHAHAHAHA unapotosha ukiwa omba omba connection unakosa maana ni ngumu mtu mwenye akili timamu mwenye connection zake akubali kukukonekti na watu wa maana kwa maana utamwaibisha.Kuomba helaa na kupata Connection ni vitu viwili tofauti.
ACHA VIJANA WAOMBE HELAA!
PambanaZaidi/CottonandMore