Inspiration, (msukumo)Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
shukrani sana Ila ningepata ufafanuzi zaidi ungenisaidia sanaInspiration, (msukumo)
CCM chipukizi na scout mashuleni wana kazi gani atiiii????Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Wale wote ni usalama wa taifa 😁Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
ninavyoelewa mimi wale huwa wapo kwenye academy za timu.Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
😃😃😃😃Wale wote ni usalama wa taifa 😁
Watoto ni alama ya umoja mshikamano na furahaJumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Nitumie mfano wa rafiki kumbe mkifanya jambo mnalolipenda urafiki,(upendo huongezeka),vile vile baba akiwa muimbaji mtoto anaweza akarithi kipajishukrani sana Ila ningepata ufafanuzi zaidi ungenisaidia sana
Kuwajenga kiakili watoto wapende michezo na kuiga mazuri ya wakubwa wao.Kumjengea mtoto ujasiri wa kuwepo mbele za watu wengi na kuwaonesha kuwa jamii inawajali,kuwapenda na kuwa pamoja nao kwa hali na mali.Wafahamu kwamba zile ni timu zao na kuweka uzalendo kwao.Wigwa Mwanamalundi?Kama haujaelewa nakuchapa viboko.shukrani sana Ila ningepata ufafanuzi zaidi ungenisaidia sana
shukrani mkuuninavyoelewa mimi wale huwa wapo kwenye academy za timu.
Tafuta pesa acha mambo hayakusaidiii......kama urembo.au mila za mpura duniani iko hivyo ...mthen ....tutafute pesashukrani sana Ila ningepata ufafanuzi zaidi ungenisaidia sana
Tafuta pesa acha mambo hayakusaidiii......kama urembo.au mila za mpura duniani iko hivyo ...mthen ....tutafute pesa
Kazi yao ni hiyo tu kuongozana na wachezaji, na huwa wanalipia.Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Waokota mipira elewa maanaJumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Uzi Ufungwe.Wale wote ni usalama wa taifa 😁
Kwani Amekwambia Amezipotezea Wapi?Tafuta pesa acha mambo hayakusaidiii......kama urembo.au mila za mpura duniani iko hivyo ...mthen ....tutafute pesa