HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina ya vijana kadhaa mtaani wenye tabia kama hizi. Mnaweza kunisaidia sababu za tatizo hili?

Hivi toka mimba inapotungwa tumboni huwa inatunzwa na nani na mpaka mnapozaliwa mpaka kukuwa kwenu na mpaka mnapozeeka mnatunzwa na nani? kuweni wa kweli. Mijanadume kutunzwa na "mi mama" hakukuanza leo wala hakutakwisha leo, ni "nature". Ni nani kati yenu toka anapokuwa tumboni mpaka hapo alipofika ambae hajawahi kutunzwa na "miji mama". Hiyo "miji mama" ndio mama zenu hao na miwaongea mfanye heshima na adabu, msijione leo mna uwezo wa kubofya hizi keyboard mkasahau waliowatunza toka tumboni.
Hao baba zenu wanatunzwa na nani? Mnanchekesha!

Hivi toka mimba inapotungwa tumboni huwa inatunzwa na nani na mpaka mnapozaliwa mpaka kukuwa kwenu na mpaka mnapozeeka mnatunzwa na nani? kuweni wa kweli. Mijanadume kutunzwa na "mi mama" hakukuanza leo wala hakutakwisha leo, ni "nature". Ni nani kati yenu toka anapokuwa tumboni mpaka hapo alipofika ambae hajawahi kutunzwa na "miji mama". Hiyo "miji mama" ndio mama zenu hao na mkiwaongea mfanye heshima na adabu, msijione leo mna uwezo wa kubofya hizi keyboard mkasahau waliowatunza toka tumboni.
Hao baba zenu wanatunzwa na nani? Mnanchekesha!
Duh FF vipi tena mbona mkali kulikoni !.
Rafiki yangu HP...binadamu ana viungo vingi sana mwilini mwake ambavyo anaweza kuvitumia kupata/kujiongezea kipato, sio lazima mikono tuu!