Vijana wanaopendwa kutunzwa na Mimama

  1. majimama hayatoshelezwi na majibaba yao - tatizo la nguvu za kiume, tofauti ya umri kati ya mume na mke ambayo baadae inasababisha baba kuwa kachoka/mzee na hajiwezi na mama kuwa bado kijana.
  2. Tamaa kwa majimama
  3. tamaa ya fedha kwa vijana
  4. Haki sawa; kulipa kisasi kwani majibaba nao huchukua vijisichana vidogo
  5. mambo ya kisasa; mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
 

Jimama Si atafute angalau wanaoendana kiumri jamani inasikitisha sana unakuta mtu yuko na limama la kumzaa dah sasa mama yake nyumbani sijui anamtazamaje akitoka ku-ku-ku-ruka nalo?
 
maisha magumu. kijana unaweza kuwa na wazo la kufanya kitu fulani lakini mtaji wakufanyia hicho kitu huna. hata ukiomba ukope hupati. sasa njia rahisi ni kutumia mashine kupata mtaji. hivyo wengi wanawapiga mashine majimama ili wapte mtaji wa kuondokea. ndio maana hata hao majimama wanao watunza si makabwela.
 
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
 
Nisije nikawa naitwa na mie jimama huko, mpenzi wangu nimemzidi miaka miwili, na tunapenddana sana jamani kwa nini watu wana maneno mabaya hivo? kwani kupenda mtu ni crime, na ukiwa nazo kumuhudumia nako ni shida?
 
looo mkihudumiwa mnakuja juu, msipohudumiwa mnakuja na thread hapa oooh najituma sipati kitu, waacheni wamama wa watu hamuwezi jua, na wengine wako single kabisa maybe walifiwa kwa nn wasijitafutie faraja ya moyo, wababa wengi tu wako na wasichana wadogo why hawa wamama wanyanyapaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…