Uchaguzi 2020 Vijana wanaosadikiwa kuwa ni wa CCM kurusha mawe kwenye msafara wa Lissu ni njama ya kuwafanya CHADEMA wajibu mashambulizi ili waonekane wanavurugu?

inabidi atulie sasa na yeye sindano iingie vizuri, yeye si ndo anaitaga watu MAJINGA, sasa atulie zamu yake sasa kupokea maumivu
 
Hao wa huko Njombe wameuawa na vijana wao ili waichafue @chademe.
Tuweke hapa orodha ya walio uliwa na CCM na hamna muuaji amekamatwa Wala polisi kuchunguza?
Bali huko Chato sio Chadema ili waichafue CCM. Kweli akili kubwa ni shida, kitu ni kimoja tu kuwashikisha adabu tarehe 28. Hapa kazi tu! Ding ..... Dong.
 
KILA MAIGIZO NA PROPAGANDA ZENU ZINABUMA HARAKA SAANA. ILA KUMBUKENI OCTOBER NDO MTAJUA WATANZANIA HAWAPENDI KUUZA TAIFA LAO KWA MABEBERU.
Fala wewe, nani ameuza madini yetu kwa mabeberu Kama sio ccm?? mikataba iliyopo imesainiwa na Lisu?? ficha kidogo ujinga wako!!
 
Mi kizungu sijui tafsiri wewe kama upo vizuriii ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…