nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hili jambo sikutaka kuliweka hapa lakini nimeona nitoe sumu.
Nimewadhamini kazi kwa wadau tunao heshimiana sana nikiamini kwamba nimewatoa kanisani mtakuwa waaminifu kwenye kazi za watu, lakini kwa tamaa zenu mmenichafulia PR kwa wazee wenzangu.
Nakumbuka nilivyojifunga kwa maneno ya kinywa changu lakini kwa mlivyokosa adabu mngeomba hata samahani. Si kwa ubaya lakini bora kuchukua vijana msikitini manake si wadokozi.
Hili nililifanyia utafiti kitambo sana na ndio maana makampuni mengi yenye madereva wanaoswali hukua siku hadi siku.
...UBAYA UBWELA...