Vijana wangu mnafeli wapi? Tatizo nini?

Mo ni mshia, na mashia sio waislamu.
 
Mo ni mshia, na mashia sio waislamu.
Wizi na kukosa uaminifu hauna dini ni tabia na malezi ya mtu, kuna watu hawana dini ila ni waaminifu sana..?
Wewe unayetaka kutetea Waislamu ni kuulize hao waliopo serikali wanaiba na inajullikana ni Waislam na msikitini wanaenda unasemaje?
 
Mkuu SASA hivi watu wanawaza material possessions Tu bila hata kujali heshima ya MTU aliyekudhamini! Ila wanajikaanga wenyewe kuna faida gani umeiba Leo Leo na umekamatwa Leo leo
 
aisee hiyo kazi yenye marupurupu kibao ni wapi,vijana wamezingua
 
Wizi na kukosa uaminifu hauna dini ni tabia na malezi ya mtu, kuna watu hawana dini ila ni waaminifu sana..?
Wewe unayetaka kutetea Waislamu ni kuulize hao waliopo serikali wanaiba na inajullikana ni Waislam na msikitini wanaenda unasemaje?
Mimi sikutetea wezi mkuu wangu, niliweka tu sawa kuhusu ushia na uislamu, ama waislamu wezi ni wengi tu, ndio maana kuna sheria kwenye uislamu ya mtu kukatwa mkono akiiba kiwango fulani, ila vijana wa waislamu wana nafuu kulinganisha na upande wa pili.
 
Wana nafuu tafiti amefanya nani? Na wewe unasemaje kuwa shia sio waislam na ina julikana ni dhehebu la kiiislam kama ilivyo kwa Sunni. Je Shia hawatumii Kurani? Hawamtaji Mohamed kama kiongozi wao?
 
Hakuna sehemu nimeandika wakristo....
Na ni vyema ufahamu kila anaeingia kanisani si mkristo.....
USHAURI
1.Nenda bafuni kaoge
2.Pata kitu cha kula na kunywa
3.Nenda kapumzike...kulala.....itakusaidia kupata unafuu.
Pole sana
 
You're very right wana unafuu......ukweli ndio huo...mimi mwenyewe sio muislam lakini kama jambo liko kweli tunalisema ili tujue hawa vijana wetu tutawasaidiaje
 
Pole.
 
You're very right wana unafuu......ukweli ndio huo...mimi mwenyewe sio muislam lakini kama jambo liko kweli tunalisema ili tujue hawa vijana wetu tutawasaidiaje
Ni kweli kabisa, huwa nikisafiri naona madereva wengi ni waislamu labda nikadhania kwasababu matajiri wengi sekta hiyo ni waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…