Vijana wangu msiuache mfumo dume

Ni kweli ila sio mimi wa kutelekeza mali zangu na kwenda kufia kusikojulikana, hao ni wazee wapuuzi kama wapuuzi wengine. Kwangu watoto kunichukia is not a big deal, kwa sababu sitegemei msaada wa watoto hata nikizeeka, na sitarajii kuwategemea. Wakinipenda sawa, wasiponipenda sawa.

Sina muda mchafu wa kujieleza kwa matoto majinga ili yanielewe, wakiamini wanachoambiwa na mama yao its up to them, sina muda wa kujieleza ili nikubalike kwao.

I take my time! That's the way I've been raised to be!
 
Labda wanaume wajinga wajinga(wanaonekana kuwa wengi kwa sasa at my glance)!
 
Nani huyo?
Kuna jamaa twitter anajinasibu mtetez haki za binadam lakin uhalisia anatetea Ke, ukimuuliz haki ipi kanyimwa mtoto wa kike shulen ili hali karuhusiw asome hata akiwa na mtoto jibu hana, kwa upande wa mtoto wa kiume akimpa mimba mwanafunzi mwenzie huyu yeye sio kuacha tu shule bali na kifungo juu yake lakin hamna anemtetea japo awe huru kutunza mtoto.
 
Ujue wanofikia hatua ya kujimbia ni kuw yuko ukingoni abaki afe au akimbie kuokoa maisha yake, ila kikubwa be careful muda wote na jiandalie mwenyew maisha yako ya uzeen pindi huna nguvu
 
Mimi ni ruhusa kucheat hapa na pale lakini mke wangu akijaribu tu,ni kufukuza completely.

Elimu ya uumbaji imeruhusu Me kula mizigo mingi kadili awezavyo ila haijaruhusu Ke kuliwa tofauti na mme wake au hovyohovyo...

Ke anaweza kufumania tena ndani ya nyumba yake, akasamehe na maisha yakaendelea, Me akifumania ni ngumu sana kusamehe na maisha yakaendelea hapo talaka lazima ihusike, this is automatic kutoka elimu ya uumbaji..

Mwanamme ameumbwa kuwa mtawala, kitendo ya kusalitiwa na Ke tayari ile ya utawala dhidi ya kiumbe Ke inatoweka maana watawala wanakuwa wengi na lolote laweza kutoke...
 
Dunia imekuwa mbaya kwa kuwaacha wanawake wazagaezagae na kujiamulia mambo yao...Mwanamke ameumbwa kutawaliwa tena na Mwanamme maana elimu ya uumbaji imemnyima baadhi ya vitu muhimu kwa ajili ya utawala wake mwenyewe na mazingira, vitu hivi na akili hizi kapewa Me..

Kuwapa uhuru akina mama, ni kuifanya dunia kuwa mbaya na kuitokomeza, watu hawa hawapaswi kuwa huru zaidi ya kusikiliza amri za waume zao, mababa zao, kaka zao, wajomba zao nk...
 
Daah huyo jamaa timamu kweli?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ila isiwe tiketi ya kumsaliti mkeo

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Exactly!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Shida inakuja sasa, wanaume wenyewe wa kuwa wanaume wako wapi!! Wanaume mmepwaya sana katika huo uanaume wenu. Wala msitumie mabavu, kumbukeni akili tu mlikoziacha(kama mlikuwa nazo lakini).
 
Shida inakuja sasa, wanaume wenyewe wa kuwa wanaume wako wapi!! Wanaume mmepwaya sana katika huo uanaume wenu. Wala msitumie mabavu, kumbukeni akili tu mlikoziacha(kama mlikuwa nazo lakini).
Umeongea kitu mkuu
Kuna kundi kubwa la wanaume wasiojitam ua mtaani

Ingawa sijaoa Bado ila kuna muda huwa natafakari kwa Nini baba na Kaka zangu wameruhusu hili litokee!!?.
 
Noted
 
Umeongea kitu mkuu
Kuna kundi kubwa la wanaume wasiojitam ua mtaani

Ingawa sijaoa Bado ila kuna muda huwa natafakari kwa Nini baba na Kaka zangu wameruhusu hili litokee!!?.
Matokeo yake ndio tunakuwa na kizazi cha wanaume wa kulia lia tu, na wasio na akili wala maamuzi. Jambo dogo la kulifanyia maamuzi kama mwanaume anakimbilia mitandaoni. Haya mambo tuliyazoea kwa wanawake ila sasa wanaume ndio wameshika hatamu. Bora muanze kufunguka mapema atlist muokoe jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…