Vijana wangu msiuache mfumo dume

Siyo vibaya wakiwepo huko juu ila tu tukubali watumike kwenye jamii kama ambavyo wanaume walipewa kazi hiyo ya kujenga jamii na uchumi, ila kwenye mtu binafsi yaani mwanaume tujitahidi kuwa watawala kwenye ngazi zetu za mahusiano Ili unayemtawala akuheshimu na kukutii tu automatic kwa wewe kuwa juu yake, huko kwingine kwenye kazi hata wakiwa juu yako chukulia niwajenga Nchi na wewe upo kwaajili ya kutimiza hitaji lako la muhimu la kula kwa jasho.
 
Sasa wale wanawake Saba watakaomugombea mwanaume mmoja kama Sasa wanaume wanavyogombea mwanamke mmoja ? Ni mazingira tu ya wanaume walipokuwa na nguvu za kutawala ila tunapoelekea hili la usaliti litageuka kama huko kwa wenzetu wanavyopeana talaka baada ya wanawake kupata ushahidi wa kucheat maana wote wanaruhusiwa hata huku mweza akicheat talaka inahusu kuanzia kwenye Dini mpaka mahakamani, kilichofanya wanaume wapate upendeleo Afrika ni uchumi wao kuwa juu ya wanawake, Sasa huyo k analiwa sana tu imagine watu wapo mikoa tofauti kwa kutafuta vipato Kila mtu na mtu wake wa Siri wakati zamani mke alikuwa hafanyi kazi Ili aambatane na mumewe popote kwa kusimamia mji na kutunza mume ila Sasa huyo mfanyakazi mwenzio ambaye ni mkeo anaishi mkoa tofauti anacheat tu ila kwa vile uchumi ndo unaendesha dunia akikuletea gari utumie la mume mwenzio unachekelea.
 
Shida inakuja sasa, wanaume wenyewe wa kuwa wanaume wako wapi!! Wanaume mmepwaya sana katika huo uanaume wenu. Wala msitumie mabavu, kumbukeni akili tu mlikoziacha(kama mlikuwa nazo lakini).
Na hawakuambiwa waishi na wanawake kwa mabavu Bali kwa akili Sasa wametupa akili wamebakiza mabavu yaliyofanya mwaume ashindwe kwa kiwango kikubwa Sana.
 
Hata akiwa na elimu, akiolewa ni lazima awe chini yangu.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hapo sawa, fimbo zirudi! Ila mimi regardless mke ana kazi au hana, yupo chini yangu. Kama hataki aende. Yaani mimi ndio muumini wa mfumo dume 99%.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Elimu na dini vimewafanya wanaume kuwa waungwana yaani diplomatic tofauti na wazee wetu.
Ila kiasili wanawake wengi upenda wanaume madikteta.
Nakubali! Ukijifanya mpole mpole aka diplomatic, watakuchekea ila ukgeuka watasema "lione hili boya hili, halina kitu"

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja walaqhi', wanaume wajitahidi kubaki kwenye nafasi zao, uanaume umechezewa sana hivi sasa, umedharaulika mno, ile heshima ya kiume imetoweka kwa kasi, nawahurumia mno watoto wetu wa kiume, Mungu atusaidie kiukweli..!
Na wakuhurumiwa zaidi hapo ni watoto wa kike maana kwa mwendo huu kuna hatari wakaishi na kufa wakiwa hawajaonja utamu wa mamlaka ya "mume" jambo ambalo kimaumbile na kiasili ni "haki" yao muhimu sana maishani.
 
SEEMS LEGIT AND THERE ARE SOME HATERS WILL HATE THIS
 
na yule Chief wao mkuu anazidi kuwajaza ujinga, eeh, haki sawa, 50/50,
asukume mkokoteni kifua wazi kwanza then tuone uhaki sawa
Ni kweli kabisa sisi wote kama binadamu bila kujali jinsia tuna Haki sawa lakini wajibu na majukumu ndio tunatofautiana na hii ni kutokana na asili ya maumbile yetu. Usichanganye Haki na Wajibu. Haki sawa ila majukumu tofauti
 


KWENYE NYAKAZI ZIJAZO, ILI MWANAMKE AWEZE KUISHI/ KUWA NA MWANAUME LAZIMA AWE NA NGUVU ZA KIUCHUMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…