Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
Amani iwe kwenu,
Jf 4ever,
Taarifa za chinichini zinatanabaisha kuwa wale vijana watatu( tatu bomba) toka chama cha kijani, Tayari wameshaanza kujidhatiti ndani na inje ya chama chao ili ifikapo 2020 kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Mmoja kati yao aingize jina lake ili kupambana na mtukufu aliyeko madarakani, Kawaida ya chama hiki huwa kinamazoea/busara na kauli mbiu ya kusema "mwacheni mwenyekiti amalizie muda wake" vijana hawa wameapa kupambana na mtukufu hadi tone la mwisho, Madai yao nikwamba kwanini aliwatosa.
Hata baada ya kuiba kura kwa upinzani ili yeye ashinde, Kwanini awateue kuwa mawaziri kwenye wizara zitakazowafanya wasijipatie political influence/umaarufu wa kisiasa kwa jamii, Na mtukufu kuamua kuibua vijana kama akina Bashite na wenzake ili kuzika kabisa ndoto za vijana hawa mashuhuri na wapambanaji wa kweli ndani ya chama kikongwe kabisa barani Africa na Duniani kwa ujumla, Mnyetishaji pia anadodoa kuwa mtukufu tayari ameshawanote na yeye ameahidi kuwatosa hivi punde kwenye nafasi zao hizo, Evidence , Uteuzi wa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano,
Watatu hawa wanasema tayari wanawabunge na viongozi wengine wengi inje na ndani ya chama wanawaunga mkono hasa kutokana na utendaji dhaifu wa mtukufu na ukiukaji mkubwa wa sheria za inchi migogoro na wapinzani,kauli za kibabe kitendo ambacho kimezorotesha sana uchumi wa watanzania hasa wakipato cha chini na kati,
Nitaendelea kuwalete VUGUVUGU hili kwa kadiri nitakavyonyetishwa