Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore

Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa kwao na vizazi vyao

Nimeshangaa sana 🐼

Natokea Mbeya Kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege 😄
 
Wanamsubiri wapi wakati alishafika toka asubuhi

Acha uongo
 
Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore

Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa kwao na vizazi vyao

Nimeshangaa sana 🐼

Natokea Mbeya Kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege 😄
Photo! Photo! Photo!
 
Back
Top Bottom