johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bila picha siwezi kukuelewa!Nimeshangaa sana
Wanamsubiri wapi wakati alishafika toka asubuhiVijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore
Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa kwao na vizazi vyao
Nimeshangaa sana πΌ
Natokea Mbeya Kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege π
Wewe seama tu umetokea Mwakaleli!Natokea Mbeya Kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege π
Mimi natokea Mbeya Bwashee labda hawana taarifaWanamsubiri wapi wakati alishafika toka asubuhi
Acha uongo
Sema wewe ndio huna taarifaMimi natokea Mbeya Bwashee labda hawana taarifa
Mwakaleli Sec School ilitisha sanaππWewe seama tu umetokea Mwakaleli!
Sasa ningekuwa na taarifa si ningewaambiaSema wewe ndio huna taarifa
Photo! Photo! Photo!Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore
Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa kwao na vizazi vyao
Nimeshangaa sana πΌ
Natokea Mbeya Kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege π
Kuna wanaume wanawashwa sana siku hiziWanamsubiri wapi wakati alishafika toka asubuhi
Acha uongo
Hajaja nilikua nacheki Live ITV YouTube aisee kila comment inamuulizia yeye.Huyo mwamba sijamuona
Huyo mpori haishi Dar ,sjui anaishi wap watu kila muda wanabubujikwa na machozi,,nahis hata Leo kwao Babake ba mamake walikua wanabubujikwa na machozi Kwa kua ni birthday ya mamaAkitafutwa Lucas Mwashambwa katikati ya hao vijana hawezi kukosekana.
Na machozi yatambubujika sanaa.