Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eish ,lakini vijana wengine sio viongozi hata kidogo.Huyo jamaa Simba Arati nimeona aki-support very very disastrous policies .Nairobi imejaa vijana wengi hadi imenipa wasiwasi kidogo, maana kawaida ya vijana huwa hawakawii kuwa na mihemko ya kiaina, hususan nikizingatia kiongozi wa Dar es Salaam ni kijana na huwa sio haba kwa vituko, siku fulani ametuhumiwa kuvamia kituo cha habari cha Clouds na kufanya yake humo.
Hata hivyo hongera Wakenya kwa kupokeza uongozi kwa vijana wengi maana kila siku tunaambiwa vijana ndio viongozi wa kesho, ambapo kesho yenyewe haitimii.