Vijana wapiga siasa nchini Kenya

kemo

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
186
Reaction score
212
Dagoretti south : "KJ" John kiarie


Embakasi East : "BABU" Paul Owino



Langa'ta Generali Nixon Korir
 

Attachments

  • youthful mp 3.jpg
    35.7 KB · Views: 55
Starehe 'Jaguar" Charles Njagua
 
Embakasi west George Theuri
 
baba mdogo sana huyu umri wa ishirini na tatu MP Igebe south
 
Hata F.T.C, yaani First To Comment hatutapata? Eti kwasababu tu uzi umeanzisha wewe? Una roho mbaya wewe!
 
Nairobi imejaa vijana wengi hadi imenipa wasiwasi kidogo, maana kawaida ya vijana huwa hawakawii kuwa na mihemko ya kiaina, hususan nikizingatia kiongozi wa Dar es Salaam ni kijana na huwa sio haba kwa vituko, siku fulani ametuhumiwa kuvamia kituo cha habari cha Clouds na kufanya yake humo.

Hata hivyo hongera Wakenya kwa kupokeza uongozi kwa vijana wengi maana kila siku tunaambiwa vijana ndio viongozi wa kesho, ambapo kesho yenyewe haitimii.
 
Eish ,lakini vijana wengine sio viongozi hata kidogo.Huyo jamaa Simba Arati nimeona aki-support very very disastrous policies .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…