Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana.
Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia.
Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali inayoendelea sasa msishangae baada ya miaka michache ijayo vijana wengi kuzidi kuishiwa nguvu za kiume.
Mwanaume usikubali kula chakula kilichopikwa na ndimu ya unga , ikiwezekana kama unakula mgahawani huo mgahawa uhame kabisa.