Vijana Washike Wachukue Uongozi Wa Tanzania 2010

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Ndugu Wadau:
Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.

Itakuwa vyema sana ikiwa Kizazi Cha John Mashaka , Mwanakijiji , Dr. Shayo na January na wengineo kushirikiana ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.

Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…