MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo;
- Kufanya usafiri katika eneo la kazi.
- Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara.
- Kufunga mizigo ya wateja.
- Kupanga bidhaa katika ghara.
Sifa za muombaji.
Namna ya kutuma maombi.
- Awe mwaminifu.
- Awe mchapa kazi.
- Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne.
- Awe anaishi Dar es Salaam.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini;
miundombinu2010@yahoo.com.
Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200.
Asanteni.
Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee
5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi
Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana?
Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana?
jaribu kesho mkuu huenda number inatumika siku za kazi
Vijana wa kiume au kike?
tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box