Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 253
- 360
Binafsi mwaka huu 2025 nataka Kugombea moja ya Jimbo ambalo mpaka Sasa linaongozwa na Mbunge ambaye ni Waziri kwa Sasa na amedumu kwa miaka 25.
Wananchi Jimboni hawamtaki lakini juu huku yeye ni chawa mmoja hatari sana. Mara zote yeye hupita kwa njia ya Rushwa.
Sasa ukilinganisha Uchumi wake wa kuhonga ni mkubwa sana na mbaya zaidi watu huwa wanamuogopa kwahiyo hawawezi kutangaza nia ya kugombea kwasababu wanaamini ni mshirikina yaani mchawi, Mimi Binafsi siamini na ndio maana nimejiamini mwaka huu 2025 nitagombea na yeye ataona kwa macho yake.
Sasa huu mwaka 2025 wadau wanaopenda kuwasaidia Wananchi kwenye Kata na majimbo tufanye mabadiliko kuwepo na sura mpya na mawazo mapya naamini itasaidia kuliko kuwa na mawazo yaleyale miaka 15 mpaka 30 huku tukitarajia kupata Matokeo tofauti.
Wadau tupeane mawazo namna gani ya kuwaangusha hawa vigogo waliozoea kufanya kazi kwa mazoea na kudhani Kata au Jimbo ni Mali ya familia zao?