Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Jiamini cha ujinga oga vizuri kula vizuri paka mafuta mazuri tutakuita bak biuti ebooo wewe vipiiii!!! Tena mademu blak wako hot sana aiseee
 
Kunywa apple punch nakuja lipa
 
Heeee !!! Yani yan kumbe mambo yako hivyo!??duu
 
Ipo hiv labd hamuelewi percent kubwa ya madem weupe hupenda black men ..binafc me ni mweusi japo sio cheus mangala lakin madem weupe huja kama mvua na bad sina pesa ..
 
Hao wadada wanaojichubua huwa nahisi asilimia kubwa wana mdudu. Tena mashavu yakishaanza kubadilika rangi kuwa meusi natema kabisa na mate chini .
Kwa wanaume ndio sitaki kabisa kuongelea
 
cha msingi ela tu ayoo maneno ni kwa watu ambao hawana ela .
 
Aisee ila sisi weupeee naona kama tunazeeeka haraka sana halafu ukiwa lofa ndio daaaa hatari
 
Aisee wewe unatatizo sio bure
 
Sijawahi kuona mwanaume mweusi aiyejiamini labda wewe peke yako. Wanaume kwanza hata huwa hawajali rangi zao labda kama upo under 25 yrs
 
Daima kitu kizuri ndo kinachosifiwa.

Unakuwa na mwanaume ana sura ngumu hadi ukipita nae mbele za watu wanashangaa nakucheka kwamba huyu mwanamke alikosa nini hadibakawa na mwanaume kama huyu.
Aisee wewe ni jinsia gani!?? Samahani lakini
 
Poleni sana, na itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Mimi huwa sijielewi ni mweusi au mweupe kwanza kwa mwaka naweza nikajiangalia kwenye kioo mara 4 tu tena itokee bahat mbaya tu nikiwa nimepewa lift kwenye gari ya mtu alaf itokee nikagongana macho na side mirror za gari ndo najiona siku nyingine nakua mweupe sana siku nyingine maji ya kunde ila maji ya kunde huwa nikijiangalia kwenye vioo vya madirisha ya nyumba wakat napita ndo najiona kama black flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…